UKWELI MCHUNGU
Wew bado kijana mdogo Sana, unawaza ndoa, si ajabu hata level ya mapenzi ya ujanani ujayapitia alafu unataka ndoa[emoji41][emoji41]
Unachokitafta utakipata soon, kwanza Nina wasiwasi na iy degree yako umeimaliza lini Kama bado umri wako ni mdogo hivy? Au nawew niwale macharii wa kishua mlioanza shule mkiwa na umri mdogo?
Dogo tafuta maisha kwa bidii, mshike Sana pesa ili uwe na amanii.
Itafute Sana pesa na hayo mengine utazidishiwa.
Huko mitaan mbna wanawake wengi tuu, ama wew mdomo wa zege la sementi huwez kuwaface madem mpka uje humu kulilia kiuruma umpate wakukuonea uruma? Acha izo bana, tafta hela hao uwatakao utawapata kwa muda wowote utakao....
Subir wananzengo soon watakuja kukupa mwongozo humu[emoji23][emoji41].
UKWELI UNAUMA