Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamachame watakunyofoa rohhoYupi huyo mlete
Wenye upako ndio hamfi eeh!? [emoji23] [emoji23]Hawaniwezi nina upako
Weka CV yako hapa. Una maduka mangapi mjini! Nje ya maduka, unamiliki biashara gani nyingine! Unamiliki nyumba ngapi za kulala wageni (Lodge)! Una Kitimoto wangapi wa kufuga! Una magari mangapi, nk.Natafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza
Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
Nipe namba yake huyo zumbe,atanifaa sanaWeka CV yako hapa. Una maduka mangapi mjini! Nje ya maduka, unamiliki biashara gani nyingine! Unamiliki nyumba ngapi za kulala wageni (Lodge)! Una Kitimoto wangapi wa kufuga! Una magari mangapi, nk.
Binafsi ninamiliki Wachaga wawili hapa ambao ni wife material. Hivyo naweza kukuachia huyu mdogo. Ni Mmachame wa Hai. Mtoto anatokea familia ya kitajiri, hivyo hawezi kuoelewa na mchimba chumvi.
Weka CV yako hapa. Una maduka mangapi mjini! Nje ya maduka, unamiliki biashara gani nyingine! Unamiliki nyumba ngapi za kulala wageni (Lodge)! Una Kitimoto wangapi wa kufuga! Una magari mangapi, nk.
Binafsi ninamiliki Wachaga wawili hapa ambao ni wife material. Hivyo naweza kukuachia huyu mdogo. Ni Mmachame wa Hai. Mtoto anatokea familia ya kitajiri, hivyo hawezi kuoelewa na mchimba chumvi.
Ishi nao tu kwa akili mkuu. Na usisahu pia wakati mwingine kuwa nunda. Maana hawa wenzetu, vipaumbele vyao ni tofauti kabisa na vya kwetu.Mzee naweza kuja DM kwako unipe mawaidha juu ya wake zangu maana naona kama kuna dalili ya Petrol siku za usonj.
njoo inbox nikuunganishe na single mazaHawaniwezi nina upako
Haa Haa Haanjoo inbox nikuunganishe na single maza
teacher wa primary.
tunabuni mbinu za kujiingizia vipato mkuu maana uchumi wa Mwigulu umekazaHaa Haa Haa
Nchi Ngumu Sana Hii
Connection Feetunabuni mbinu za kujiingizia vipato mkuu maana uchumi wa Mwigulu umekaza
aje na 50,000 nimuunganishe na bi maza hapa
No free lunch.Connection Fee
Jiwe Kauli ZakeNo free lunch.
Acha nijiajiri tu hapa.Jiwe Kauli Zake
Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu
Tuchape Kazi!! Hakuna Mjomba
Haa Haa Haa!!!!