Natafuta mwanamke mchaga

Natafuta mwanamke mchaga wa kuoa awe mmachame au mrombo itapendeza
Umri kuanzia miaka 22.awe tayari kupima na kuolewa ndani ya miezi sita
Weka CV yako hapa. Una maduka mangapi mjini! Nje ya maduka, unamiliki biashara gani nyingine! Unamiliki nyumba ngapi za kulala wageni (Lodge)! Una Kitimoto wangapi wa kufuga! Una magari mangapi, nk.

Binafsi ninamiliki Wachaga wawili hapa ambao ni wife material. Hivyo naweza kukuachia huyu mdogo. Ni Mmachame wa Hai. Mtoto anatokea familia ya kitajiri, hivyo hawezi kuoelewa na mchimba chumvi.
 
Nipe namba yake huyo zumbe,atanifaa sana
 

Mzee naweza kuja DM kwako unipe mawaidha juu ya wake zangu maana naona kama kuna dalili ya Petrol siku za usonj.
 
Mzee naweza kuja DM kwako unipe mawaidha juu ya wake zangu maana naona kama kuna dalili ya Petrol siku za usonj.
Ishi nao tu kwa akili mkuu. Na usisahu pia wakati mwingine kuwa nunda. Maana hawa wenzetu, vipaumbele vyao ni tofauti kabisa na vya kwetu.

All in all, Wanawake wa Kichaga hupenda kuolewa na wanaume Wapambanaji/Watafutaji. Ukiwa na Umwinyi mwingi, wanakuacha. Hawapendi kuolewa na wanaume wavivu kwenye utafutaji wa pesa.

Eti wewe ubaki nyumbani, halafu yeye akakutafutie, hilo sahau. Labda ukaoe Mnyakyusa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…