Natafuta mwanamke mgumba

Natafuta mwanamke mgumba

BlackBella

Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
28
Reaction score
10
Habari za humu ndani?
Kwa heshima kubwa najitokeza hapa kutafuta MKE MGUMBA
Mimi ni Mwanaume mwenye umri wa miaka 48
Nimejitokeza hapa kutafuta MWANAMKE MWENYE KUSHINDWA KUPATA MTOTO AU HASIEITAJI MTOTO
Sina ubaguzi umri wowote! Dini yoyote Naomba Tuwasiliane kwa Email address bellasingah@gmail.com au kwa simu namba 0719 20 98 75
Kwa yule mwanamke mwenye nia ya dhati na thabiti kutoka moyoni mwake na mwenye UTAYARI Tuwasiliane
 
Mbona hujataja sababu ya kumhitaji?!
 
Itakuwa mganga wa kienyeji Kuna dawa ya mitishamba anataka kuifanyia experiment
 
Back
Top Bottom