Mangimeli
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,151
- 286
<br />Kuna uhusiano gani kati yako Mshawa na Mangimeli? Post moja unamtaka machame na hii marangu! Ngachoka choki.
<br />
na mi nimesoma sabry nimecheka sana, anaiga uyo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
<br />Kuna uhusiano gani kati yako Mshawa na Mangimeli? Post moja unamtaka machame na hii marangu! Ngachoka choki.
Eee le womi le!!siku hizi bora kuoa darasa la saba,hawana mambo mengi hamna strees
Nipo SERIOUS, umri wangu ni miaka 28, nina elimu ya form 4, ni mwajiriwa serikalini, nahitaji aliye na umri usiozidi miaka 28, na awe amehitimu 4m 4 na kuendelea, dini yoyote, pls asiwe mfupi, wala mweusi. <br />
Nawasilisha.