habari wana jamii forum,
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,natafuta mwanamke mzima anayejitambua asiye na mme atakayenipenda kwa dhati,nipo kagera,bukoba!
Mawasiliano!
Namba:0756763448
email:fellinjohn7@gmail.com
Yupo jirani yangu ngoja nimpe namba yako,ana miaka 62 alifiwa na mumewe miaka miwili iliyopita(hana mume).Ana watoto 7, kifungua mimba ana miaka 41,huyo ni mwanao,husiofie umri it is just a number.