Natafuta mwanamke mtu mzima!

Natafuta mwanamke mtu mzima!

fellinjohn7

Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
65
Reaction score
39
habari wana jamii forum,
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29,natafuta mwanamke mzima anayejitambua asiye na mme atakayenipenda kwa dhati,nipo kagera,bukoba!
Mawasiliano!
Namba:0756763448
email:fellinjohn7@gmail.com
 
Samahan mkuu hivi utu uzima unaanzia.miaka.mingapi???? make nahisi wanajamvi wote humu ni watu wazima +18yrs au mie ndo.sijakuelewa¿¿¿¿
 
Yupo jirani yangu ngoja nimpe namba yako,ana miaka 62 alifiwa na mumewe miaka miwili iliyopita(hana mume).Ana watoto 7, kifungua mimba ana miaka 41,huyo ni mwanao,husiofie umri it is just a number.
 
Back
Top Bottom