Poise
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 7,633
- 7,912
Poise unajua kupamba kwani wewe Mc au[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Miye siyo MC , ila nimeoa kutoka Tanga , kwa hiyo naelewa binti / mke kutoka Tanga anajielewa sana kama Mwanaume naye akiwa ni mwanaume kweli (anayejielewa na anamheshimu na kumpenda mke wake maisha ni raha mstarehe).
Huwa napenda kuandika hivi,
Nashukuru sana, mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
Ni kwa sababu nimeoa mke kutoka Tanga na yupo very smart.
Nami, sitaki kuharibu nimejiweka vizuri kwa hiyo maisha yetu ni kama vile hatuko kwenye dunia hii ya taabu.