Poise unajua kupamba kwani wewe Mc au[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnapeana tu, me namiangalia....
Mnapeana tu, me namiangalia....
Kiukweli hongera Na hongera kwa mkeo Mungu amewakutanisha mliopendanaMiye siyo MC , ila nimeoa kutoka Tanga , kwa hiyo naelewa binti / mke kutoka Tanga anajielewa sana kama Mwanaume naye akiwa ni mwanaume kweli (anayejielewa na anamheshimu na kumpenda mke wake maisha ni raha mstarehe).
Huwa napenda kuandika hivi,
Nashukuru sana, mkoa wa Tanga kuwa Tanzania.
Ni kwa sababu nimeoa mke kutoka Tanga na yupo very smart.
Nami, sitaki kuharibu nimejiweka vizuri kwa hiyo maisha yetu ni kama vile hatuko kwenye dunia hii ya taabu.
Kiukweli hongera Na hongera kwa mkeo Mungu amewakutanisha mliopendana
Sent using Jamii Forums mobile app
Nampango nirudi kwetu tanga dar wote matapeli waoaji wameishaAsante.
Nikutakie nawe mafanikio mema.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] poa mkuu ila huo mguno vipMmmmmh,
Sawasawa, kila la Heri.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] poa mkuu ila huo mguno vip
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wapi [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] kwengineNimeshangaaa, maana siyo lazima urudi Tanga ndiyo upate.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Haaa haaaaa haaa haaaaa haaa haaaaa teeeh, si wakaa apo hapo dar hata pale wapata wako.