Mpo wachache kivipi? -veRh ni negative Rhesus factor?Guys Kama kuna mwanamke ana group la damu lenye -veRh naomb ani pm.tupo wachache.
mbona mpo wengi mkuu
Vinaleta tabu gani mkuu??Tatizo watanzania wengi atujui. Umuhim wa kupima damu.vitu Kama rh vinaleta tabu katika uzaz
Jamaa ana akili nyingi huyu.though hajasema group gan specific zaid ya rh factor.Huku kujiongeza ni kwa kuigwa aisee.πππ
Yaani Darwin's theory of scramble for the fittest inakuwa applied hapa. Ila sio physically yaani. Competitors wanapigwa pass za kiubavu kwa kutumia blood sampling.
Hahaa. Thanks for the laugh.πππππ