Natafuta mwanamke mwenye blood group -veRh.

Natafuta mwanamke mwenye blood group -veRh.

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
746
Reaction score
655
Guys Kama kuna mwanamke ana group la damu lenye -veRh naomb ani pm.tupo wachache.
 
Huku kujiongeza ni kwa kuigwa aisee.😀😀😀

Yaani Darwin's theory of scramble for the fittest inakuwa applied hapa. Ila sio physically yaani. Competitors wanapigwa pass za kiubavu kwa kutumia blood sampling.

Hahaa. Thanks for the laugh.😀😀😀😀😀
 
Tatizo watanzania wengi atujui. Umuhim wa kupima damu.vitu Kama rh vinaleta tabu katika uzaz
 
Walijitokeza wengi sana wakati wa Lissu maccm wakawasweka lupango!
Wala isingekuwa adimu kiasi hiki.
 
Huku kujiongeza ni kwa kuigwa aisee.😀😀😀

Yaani Darwin's theory of scramble for the fittest inakuwa applied hapa. Ila sio physically yaani. Competitors wanapigwa pass za kiubavu kwa kutumia blood sampling.

Hahaa. Thanks for the laugh.😀😀😀😀😀
Jamaa ana akili nyingi huyu.though hajasema group gan specific zaid ya rh factor.
 
.hms gnikoms era saggin rehto tahw dnatsrednu tnod I semitemoS
 
Back
Top Bottom