Natafuta mwanamke mwenye blood group -veRh.

Natafuta mwanamke mwenye blood group -veRh.

Vinaleta tabu gani mkuu??
Hawezi kujibu, amekariri...Sijui kaogopeshwa na nani![emoji2] atakuwa na yeye anataka kuogopesha wa kwake[emoji2]



Ila naamini, hadi kufikia Mwanamke/msichana kupimwa group atakuwa kapewa elimu nzuri, na hawezi kudanganywa kirahisi.
 
Back
Top Bottom