Nina hela, nina gari. Nahitaji mke...Awe na miaka 28-36
Awe mzuri
Awe na Hela na Gari
Nina miaka 32
Nimeanza ulevi Ila hela Sina
Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi..
Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu..
Mimi nina muonekano wa kuvuyia jinsia Ke.
Sina picha.
Vijana wana kazi nzito sio kitotoKwahiyo mkuu unachotaka wewe ni kulelewa etiii
Ndio akili zao zilipoishiaVijana wana kazi nzito sio kitoto
Kazi kweli kweliNdio akili zao zilipoishia
hujaelewa nini? chakula ikiHata sijaelewa
Sijui ni usingizi???
Nitarudi baadae kusoma tena
HahaaaaaHata sijaelewa
Sijui ni usingizi???
Nitarudi baadae kusoma tena
Kwahiyo mkuu unachotaka wewe ni kulelewa etiii