Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo Arusha karibu, Sasa ukilewa nakurudisha kwenu au unalala kwangu?Awe na miaka 28-36
Awe mzuri
Awe na Hela na Gari
Nina miaka 32
Nimeanza ulevi Ila hela Sina
Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi..
Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu..
Mimi nina muonekano wa kuvuyia jinsia Ke.
Sina picha.
Akilewa unamtafutia bashaNipo Arusha karibu, Sasa ukilewa nakurudisha kwenu au unalala kwangu?
Yaani Umejoin tangu mwaka 2010 lakini 😇😇😇😇😇😇Awe na miaka 28-36
Awe mzuri
Awe na Hela na Gari
Nina miaka 32
Nimeanza ulevi Ila hela Sina
Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi..
Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu..
Mimi nina muonekano wa kuvuyia jinsia Ke.
Sina picha.
Pombe zikiisha anakuta mayai tuAkilewa unamtafutia basha
Nimezoea kuona thread kama hizi kwa watu waliojoin siku hiyo hiyo au below one week,nimeshangaa sana kuona mtu aliyejoin mwaka 2010 kuja na thread kama hii na bado naendelea kushangaa.Ukifuatiliwa unaweza kuwa 😇😇😇😇😇😇 zaidi ya Zero IQ
Sasa kijana natoa hela nanunua Pombe, nanunua mtura mixa firigisi pale Kenny garden tunakula, unalewa natumia mafuta yangu kukupeleka tena kwako....sasa mi nafaidikaje?Unanirudisha kwangu.. Gari si unalo!
Mind u, I never fall unconscious
Jioni uje njiro tuongee zaidi ntakutumia hela ya taxUnafaidika kula na kuongea na Mimi.. Karibu.
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Pombe zikiisha anakuta mayai tu