Natafuta Mwanamke mwenye Hela na Gari Arusha Tuyumbe pamoja.

Natafuta Mwanamke mwenye Hela na Gari Arusha Tuyumbe pamoja.

, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee
 
Kuna wapoloo ankali, utapigwa mdhuti arifu! Jiangalie
 
Awe na miaka 28-36
Awe mzuri
Awe na Hela na Gari

Nina miaka 32
Nimeanza ulevi Ila hela Sina

Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi..

Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu..

Mimi nina muonekano wa kuvuyia jinsia Ke.

Sina picha.
Nipo Arusha karibu, Sasa ukilewa nakurudisha kwenu au unalala kwangu?
 
Awe na miaka 28-36
Awe mzuri
Awe na Hela na Gari

Nina miaka 32
Nimeanza ulevi Ila hela Sina

Sipendi Company ya wanaume labda wanawake wawe wengi..

Zikinishinda ntajaribu Cha huku kwetu..

Mimi nina muonekano wa kuvuyia jinsia Ke.

Sina picha.
Yaani Umejoin tangu mwaka 2010 lakini 😇😇😇😇😇😇
 
Mtoa mada pombe ikikutoka pitia tena post yako, utajikimbia
 
Ukifuatiliwa unaweza kuwa 😇😇😇😇😇😇 zaidi ya Zero IQ
Nimezoea kuona thread kama hizi kwa watu waliojoin siku hiyo hiyo au below one week,nimeshangaa sana kuona mtu aliyejoin mwaka 2010 kuja na thread kama hii na bado naendelea kushangaa.
 
Unanirudisha kwangu.. Gari si unalo!

Mind u, I never fall unconscious
Sasa kijana natoa hela nanunua Pombe, nanunua mtura mixa firigisi pale Kenny garden tunakula, unalewa natumia mafuta yangu kukupeleka tena kwako....sasa mi nafaidikaje?
 
Sasa kijana natoa hela nanunua Pombe, nanunua mtura mixa firigisi pale Kenny garden tunakula, unalewa natumia mafuta yangu kukupeleka tena kwako....sasa mi nafaidikaje?
Unafaidika kula na kuongea na Mimi.. Karibu.
 
Back
Top Bottom