Natafuta mwanamke mwenye sifa 5

Natafuta mwanamke mwenye sifa 5

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2015
Posts
1,448
Reaction score
661
sifa ya 1: aweze kulima heka 4 mwenyewe
sifa ya 2: awe ananyua nondo angalau mara mbili kwa siku
sifa ya 3: awe serious asicheke cheke
sifa ya 4: aweze kutumia 500 kwa siku mbl
sifa ya 5: awe na miaka 90 na wazazi wake wawepo kwenye harus
.
www.mchikamywapblog.com
 
huo ni upuuzi h

ebu muda mwingne muangalie mada zinazoeleweka mnatixha sanaaaaaah!
 
Mabang mabich mabaya kweli uwe unakusha mkuuu,tumia kabla ya kupost
 
Back
Top Bottom