TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 2,345
- 6,970
- Thread starter
-
- #21
Pesa zote hizo na bado umeshindwa kupata demu mtaani ,kanisani ,sokoni ,njian ,bar ,....wewe sio mzima[emoji23]
Kumbe TUKANA UONE mchovu tu.. unampiga mjulubeng mkeo mara 2 kwa siku?. Ingekuwa n mm hapo ningeandika akubali kukesha.. kulala kwake mchana
Kama unaogopa kutongoza waambie wazazi wako wakutafutie demu wa kuoa
Ni kuogopa kutongoza mtaaniKwani kutafuta mchumba hapa JF ni kuogopa Kuoa?
Mchumba huyoSifa zote unazoπ
Uzi mzuri mama mtumishi
Ni kuogopa kutongoza mtaani
Hahahaha14.Awe Tayari kupigwa Mikunyubenga (Γ2 kwa siku)
Zungumza na wasafiri wenzako basiHuo muda wa kuanza kuzurura mitaani na kutongoza wanawake nautoa wapi?
Mimi muda mwingi nasafiri na niko bize kutafuta pesa kwa ajili ya mke wangu na mtoto wangu!
Mwali mwaliiiMimi nataka nianze kunywa wine atanikosa
Zungumza na wasafiri wenzako basi
NakaziaZungumza na wasafiri wenzako basi
Fyucha hazband mwenyewe ana mipasho ππMwali mwaliii
Embu acha bwana, fyucha hazband hapendi hivyo
Kwa mineno hii kwa kitu kidogo kama ile comment no wonder unazeeka singo mpk uweke mibandiko ππππHili jukwaa lipo kwa ajili hiyo,kama wewe huna vigezo unaweza ukawaacha wenzio wenye vigezo wajimwaye mwaye!