Natafuta Mwanamke Mwenye Sifa Zifuatazo!

Mikunyubenga (×2 kwa siku) hii ina maana gani wakuu??
 
Wadada wa JF punguzeni viburi, mume huyo mnajifanya hamukuoni 😅😅😅
 
Kwanin shoo mara mbili kwa siku???

Mkuu itakuwa Asubuhi na Usiku,Mchana utakuwa muda wa Kazi!

Hiyo kutwa mara 2 nitakuwa nahakikisha namtembezea mikunyubenga hadi anatoroka chumba!
 
Mkuu hapa JF sidhani kama utapata mke umtakaye,hapa yamejaa magume gume yalichoka na kuchakaa!

All in all nikutakie kila la kheri!
 
Hayupo mwananmke wa Sifa hizo.
Ushauri mpigie Elon Musk akutengenezee.
Ukitaka namba zake tukupatie
Ova
 
Reactions: 511
Wanawake wa aina unayotaka wapo uwanja wa fisi-tena wa kumwaga
 
Na leo kaja kifua mbele.. haogopi kukutana na kina Hamisi??

Show show
Speed mwendo wa ngiri mkia juu
Mtoa mada analeta ukorea.. 😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣
Wakina Juma Lokole..!

Nimecheka sana eti speed mwendo wa ngiri...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…