Natafuta Mwanamke Mwenye Sifa Zifuatazo!

Nilichojifunza kuhusu mabinti wa huku ni kwamba huku hamna mke ila mademu utapata wa kutosha wa kusuuza rungu ,pia mizinga huwezi kuikwepa na ukikwepa unakula ban kistaarabu kabisa.

Nb. ILA NI WAKARIMU SANA NA SIJUI KWANINI HAWATAKI KUOLEWA


MUNGU AKUTANGULIE UPATE HAJA YA MOYO WAKO
 
Mkuu itakuwa Asubuhi na Usiku,Mchana utakuwa muda wa Kazi!

Hiyo kutwa mara 2 nitakuwa nahakikisha namtembezea mikunyubenga hadi anatoroka chumba!
Huon kama utamchosha mwenzio hiyo asubuhi kama ni mfanyakazi itapelekea kusinzia kazin kwann usipunguze ibaki cha usiku😅
 
Huon kama utamchosha mwenzio hiyo asubuhi kama ni mfanyakazi itapelekea kusinzia kazin kwann usipunguze ibaki cha usiku😅

Cha Asubuhi huwa kina afya mkuu!
 
Mkuu hapa JF sidhani kama utapata mke umtakaye,hapa yamejaa magume gume yalichoka na kuchakaa!

All in all nikutakie kila la kheri!
Dah acha madharau jf inawanawake uwatakao sema unapata kile ulichopaswa kupata ila sio kila samaki eti kaoza
 
Spika Tulia angekuwa hajaolewa ungejibebea mke.
 
Nivokusoma nimewaza hivi
1.Huna pesa huu ni mpango wa kuwazagamula wadada desparate kuolewa na umejua kutarget umri
2.Unamashaka ya ujinsia wako mtoto wa kiume unajiita maji ya kunde
3.Hujakomaa kiakili kunalugha unatumia ni bado una uteenager
4.hakuna muoaji hapo.
 
Nashukuru kwa ushauri wako mama
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…