Sawa Babu wa ukweliUkiwa tayari uje nikukague kwanza. Usije ukanitia aibu ukweni
Jamaa fala kweli kweli. Juzi tuu alikuwa anaomba msimbazi wa kula eti leo anatafuta wa kwenda naye vacation?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...wapi kasema ye bwabwa?
Umenisaidia..maana kusoma kote huu uzi na kujin'gata nimejin'gata sikuambulia chochoteAnataka date na mdada mzuri wa JF wakwende zao Zanzibar, ila uwe mzuri na ukiwa mzuri zaidi hiyo itakuwa ni sifa ya nyongeza [emoji23]
Na uwe muongeaji ktk masuala ya michezo, siasa za sisiemu, umbea wa watu maarufu,masuala ya biashara nk
Na uwe tayari kwa mambo yote wanayofanyaga wapenzi sio uende kama cutelove then baadae uje hapa kusema oh! Kaka yuko na papara, huyu katoa angalizo mapema [emoji23][emoji23]
Uwe tayari kupima ukimwi na umri wako uwe ni ule wa mchana mchana 24-27 yrs.
N.B mtoa mada hajui kiswahili kwaiyo ujipange na kamusi za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππ sasa umeshaelewa kifuatacho ITV??Umenisaidia..maana kusoma kote huu uzi na kujin'gata nimejin'gata sikuambulia chochote
Pamoja na kusaidia kufukua kaburi hili lakini bado kuna watu watajitosa kwenda kuchomoa betri huku wanavidumu vya petroli mkononi!Daaah tyr umeshayapatia maisha haraka kiasi hiko? Si ww juzi tuu ulikuwa unaomba 10k ya msosi?
View attachment 1197272
Cc Unforgetable
Best Quote of the day! π βWe don't chose to be in hell life, but it is our choice to remain there.
Nimeshaelewa dear[emoji23][emoji23] sasa umeshaelewa kifuatacho ITV??
Pamoja na kusaidia kufukua kaburi hili lakini bado kuna watu watajitosa kwenda kuchomoa betri huku wanavidumu vya petroli mkononi!
la Tanganyika na zanzibarπKasisitiza hilo yaani mnakuwa kama mke na mme huku mkiwa na masweta yenu ya kizalendo.
Haswaaa tena likiwa na nembo utapewa kipaumbele zaidi.la Tanganyika na zanzibar[emoji23]
Umetafsiri vizuriAnataka date na mdada mzuri wa JF wakwende zao Zanzibar, ila uwe mzuri na ukiwa mzuri zaidi hiyo itakuwa ni sifa ya nyongeza π
Na uwe muongeaji ktk masuala ya michezo, siasa za sisiemu, umbea wa watu maarufu,masuala ya biashara nk
Na uwe tayari kwa mambo yote wanayofanyaga wapenzi sio uende kama cutelove then baadae uje hapa kusema oh! Kaka yuko na papara, huyu katoa angalizo mapema ππ
Uwe tayari kupima ukimwi na umri wako uwe ni ule wa mchana mchana 24-27 yrs.
N.B mtoa mada hajui kiswahili kwaiyo ujipange na kamusi za kutoshaππππ
NdiyooooooooooMtalala chumba kimoja?
Useme hapa kabisa mambo ya kuja kuandikana jf hayapendezi[emoji1787]
πSipajui ndio nataka kukamatia fursaNdiyoooooooooo
Hivi Zanzibar kuzuri eee???
πππππππ Ngoja nikanunueHaswaaa tena likiwa na nembo utapewa kipaumbele zaidi.
HahahaahahahahπSipajui ndio nataka kukamatia fursa
ila sasa sitaki kulala chumba kimoja
Ngoja basi nimsubirie anaetaka kulala vyumba tofautiπ€£ msamaria mwemaHahahaahahahah
Hilo ni miongoni mwa sharti. Utafeliiii
Mtoa mada, nice writing skills.After going through hell for a period, I think I have opened the page that has exciting things, now, my head needs a good rest, leisure and entertainment.
That being said, I am looking for a woman who I can go with to Zanzibar for vacation purposes, it will be 5 days stay.
TERMS AND CONDITIONS:
EXPECTATIONS:
- She is supposed to be beautiful, very beautiful is an added advantage.
- She is supposed to be one who we can talk things; a bit of sports, politics, economical and business issues, celebrity gossips etc.
- Ready to take HIV test.
- Age: 24 - 27 preferably, though any one out of the range with the above qualities is welcomed as well.
The plan is to be executed end of this month, the earlier we get to know each other the better, as there are security concerns to be cleared.
- We will be going as a couple, so everything couple does is expected.
- I will cover everything, including one shopping when we are there.
- Consideration (accompanying fee) will be discussed through PM, and it depends how fit one meets the qualities.
Thank You.
Okey okeyNgoja basi nimsubirie anaetaka kulala vyumba tofautiπ€£ msamaria mwema