Natafuta Mwanamke Mzuri

Natafuta Mwanamke Mzuri

Jamaa fala kweli kweli. Juzi tuu alikuwa anaomba msimbazi wa kula eti leo anatafuta wa kwenda naye vacation?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

If you know one who fits the qualities. link her to me for 10% of her consideration.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...wapi kasema ye bwabwa?

Ha ha ha! I think I have over-analyzed his posts.

Extend my apology to him.
 
Anataka date na mdada mzuri wa JF wakwende zao Zanzibar, ila uwe mzuri na ukiwa mzuri zaidi hiyo itakuwa ni sifa ya nyongeza [emoji23]
Na uwe muongeaji ktk masuala ya michezo, siasa za sisiemu, umbea wa watu maarufu,masuala ya biashara nk

Na uwe tayari kwa mambo yote wanayofanyaga wapenzi sio uende kama cutelove then baadae uje hapa kusema oh! Kaka yuko na papara, huyu katoa angalizo mapema [emoji23][emoji23]

Uwe tayari kupima ukimwi na umri wako uwe ni ule wa mchana mchana 24-27 yrs.
N.B mtoa mada hajui kiswahili kwaiyo ujipange na kamusi za kutosha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenisaidia..maana kusoma kote huu uzi na kujin'gata nimejin'gata sikuambulia chochote
 
Pamoja na kusaidia kufukua kaburi hili lakini bado kuna watu watajitosa kwenda kuchomoa betri huku wanavidumu vya petroli mkononi!

Baada ya ajali ya Moro, siku kadhaa mbele kuna gari lilianguka huko Ngara au Biharamulo, watu wakachota mafuta kama kawaida. Nadhani ililetwa humu JF.

Na siyo wote wataelewa maana ya hiyo tahadhari pia.
 
Anataka date na mdada mzuri wa JF wakwende zao Zanzibar, ila uwe mzuri na ukiwa mzuri zaidi hiyo itakuwa ni sifa ya nyongeza 😂
Na uwe muongeaji ktk masuala ya michezo, siasa za sisiemu, umbea wa watu maarufu,masuala ya biashara nk

Na uwe tayari kwa mambo yote wanayofanyaga wapenzi sio uende kama cutelove then baadae uje hapa kusema oh! Kaka yuko na papara, huyu katoa angalizo mapema 😂😂

Uwe tayari kupima ukimwi na umri wako uwe ni ule wa mchana mchana 24-27 yrs.
N.B mtoa mada hajui kiswahili kwaiyo ujipange na kamusi za kutosha😂😂😂😂
Umetafsiri vizuri
 
After going through hell for a period, I think I have opened the page that has exciting things, now, my head needs a good rest, leisure and entertainment.

That being said, I am looking for a woman who I can go with to Zanzibar for vacation purposes, it will be 5 days stay.

TERMS AND CONDITIONS:
  1. She is supposed to be beautiful, very beautiful is an added advantage.
  2. She is supposed to be one who we can talk things; a bit of sports, politics, economical and business issues, celebrity gossips etc.
  3. Ready to take HIV test.
  4. Age: 24 - 27 preferably, though any one out of the range with the above qualities is welcomed as well.
EXPECTATIONS:
  1. We will be going as a couple, so everything couple does is expected.
  2. I will cover everything, including one shopping when we are there.
  3. Consideration (accompanying fee) will be discussed through PM, and it depends how fit one meets the qualities.
The plan is to be executed end of this month, the earlier we get to know each other the better, as there are security concerns to be cleared.

Thank You.
Mtoa mada, nice writing skills.

Constructive criticism: would you mind checking the use of words like "who" and "whom"???

All the best man!
 
Back
Top Bottom