Natafuta Mwanamke Mzuri

Natafuta Mwanamke Mzuri

Duuh
FB_IMG_15647802327447194.jpeg
 
N.B mtoa mada hajui kiswahili kwaiyo ujipange na kamusi za kutosha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Not really, medium of communication will be Swahili. But one should be able to communicate in English, there are 2 business meetings I will attend with people who speaks English, and she should also be there as a spouse (a bit of). So she should not feel out of place due to language barrier.

Thank you.
 
Anataka date na mdada mzuri wa JF wakwende zao Zanzibar, ila uwe mzuri na ukiwa mzuri zaidi hiyo itakuwa ni sifa ya nyongeza ๐Ÿ˜‚
Na uwe muongeaji ktk masuala ya michezo, siasa za sisiemu, umbea wa watu maarufu,masuala ya biashara nk

Na uwe tayari kwa mambo yote wanayofanyaga wapenzi sio uende kama cutelove then baadae uje hapa kusema oh! Kaka yuko na papara, huyu katoa angalizo mapema ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Uwe tayari kupima ukimwi na umri wako uwe ni ule wa mchana mchana 24-27 yrs.
N.B mtoa mada hajui kiswahili kwaiyo ujipange na kamusi za kutosha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Khaaa! Hiki kilugha ulijifunzia wapi?
 
Not really, medium of communication will be Swahili. But one should be able to communicate in English, there are 2 business meetings I will attend with people who speaks English, and she should also be there as a spouse (a bit of). So she should not feel out of place due to language barrier.

Thank you.
Haya umeeleweka

Ahsante.
 
British cancel ๐Ÿ™Š

Babu shikamoo
Marahaba mjukuu...

Hiyo British inakuwa cancelled wapi??

BTW nijiandae kupokea mahari kwa huyu mzembe au bado ukouko kwanza?
 
Life is choice.

If you can go through all my writings, you will know the concept.

BTW: You seem to be interested with this, I am straight to put things clear.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...wapi kasema ye bwabwa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...wapi kasema ye bwabwa?
Jamaa fala kweli kweli. Juzi tuu alikuwa anaomba msimbazi wa kula eti leo anatafuta wa kwenda naye vacation?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom