Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu mna maneno!!!!Sura mmmh!!! kama mtu kanyimwa chenji
🤣🤣🤣Vipi kuhusu sura??
Wanyakyusa mizigo huko nyuma wanayo kwelikweli ila sura ndo mazoezi.
Nawe wa huko maana mzigo unaonekana upoNdaga fijo
Tukupe mnyakyusa wa kyela???
At ur own risk lakini[emoji23][emoji23][emoji23]
Tunaposema wachaga/wakinga ni wataftaji hatumaanishi kila mchaga/mkinga ni mtaftaji hata wavivu wapo humo humo ila tu kwakua wengi ni wataftaji basi wanawabeba hata wale wavivu.🤣🤣🤣
Unasema uongo ndugu yangu.
Mimi binafsi namiliki pisi kali sana pale mbeya madukani kama unaelekea mbozi
Wanyakyusa wa Kyela wanashida gani mkuu?, elezea kidogo.
Alikua Mnyakyusa?Kama yule askari magereza kule Mwanza aliyekuwa anabishana na Magufuli live live...
Alikua Mnyakyusa?
dah kabila limeninyima mume.Mimi nina miaka 34, natafuta mwanamke wa kinyakyusa aliye mnene na mrefu.
Umri wowote. Nataka ambaye mbaye yupo tayari kuanza maisha ya kindoa hata kama ana mtoto. Nipo Songea.
Namba yangu ni 0744903557
hatimaye tunapendwa huku nyieHapana mkuu ..Mim na wapenda sana wanawake wanene ..
Bado sijapata ...mpaka sasaMkuu umeshapata mnyaki tayari? Kama bado nataka niibuke mwenyewe kubwa la wanyakyusa.
Nakuja tuyajenge mkuuBado sijapata ...mpaka sasa
Acha utani wewe, mwenzako ashainoa na ni ccm juu mtindo mmojaNakuja tuyajenge mkuu
Sijakuelewa kabisa ulichokiandika mkuuAcha utani wewe, mwenzako ashainoa na ni ccm juu mtindo mmoja