Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Sasa umri wako 25-30 unamaanisha nini? Haujui mwaka uliozaliwa unakadiria?

Weka umri upate muolewaji.

Rusha ndoano kote mtaani na humu...wa humu kwa mshahara huo si rahisi kuwapata..hawa smartphones zao tu ndiyo mshahara huo.


Mwanaume kama unataka kuishi maisha ya amani oa mwanamke unayeweza kumcontrol. Akishakuwa na akili au mjanja kukuzidi basi atakusumbua saana.

Shurti la mwanamke awe submissive kwako...lakini usiitumie hiyo kama sababu ya kumnyanyasa, hapana.
Kuwa mvumilivu utapata tuu atakae kufaa bro.
 
Back
Top Bottom