nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
Habari zenu wana jf! Mimi ni mwanaume rijali na nina miaka 26: ninatafuta rafiki wa kike mwenye umri wa kuanzia miaka 20-35! Awe mwenye uwezo wa kuchat love-sms kwa muda wowote unaotakiwa, pia haijalishi awe ameolewa au hajaolewa! Pia awe mtu mwenye uelewa na anayejitambua! Kwa yeyote aliye tayari ani PM! Karibuni!