Habari za hapa,
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 48, nina urefu wa futi 5 na inchi 7, rangi yangu maji ya kunde umbo slim body.
Najitokeza hapa kutafuta mwanamke wa maisha yangu nina nia ya dhati kabisa kutoka moyoni mwangu ninatafuta mwanamke wa kufunga nae ndoa ya maisha.
SIFA ZA MWANAMKE
(1)Dini yoyote
(2)Umri kuanzia miaka 35 na kuendelea
(3)Awe na nia ya dhati ya kufunga ndoa
(4)Awe na moyo wa kuishi maisha ya hali yoyote
(5)Awe mwanamke wa kuridhika
(6)Asiwe mnene
(7)Asiwe mweusi
(8)Asiwe mpenda makuu
(9)Asiwe mfupi
KWA MWANAMKE MWENYE UTAYARI NAOMBA TUWASILIANE KWA EMAIL ADDRESS mjumbili@gmail.com
AU
NAMBA YA SIMU 0629 64 84 00 [whatsapp]
Karibu