Natafuta mwanamke wa kuishi na kuwa mke baadaye

From Meru

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2023
Posts
3,931
Reaction score
9,376
Habarini mimi ni mgeni humu.
Nimetokea kuupenda huu mtandao
Nina miaka selasini (30) natafuta msichana wa kuwa naye niko serious. Vigezo vyangu ni hivi πŸ‘‡πŸΎ
MUONEKANO: mrefu wastani, handsome kiasi sio sana, sina uhuni ni mstalabu
Kabila: Mmeru
Umri: 30
Dini: Mkiristo
Elimu: La 7
Kazi: Kubeba tofari/Saidia fundi/ulinzi
MAkazi: Darisalam

Vigezo vya Mwanamke/msichana nayemtaka:
1.Umri kuanzia miaka 17-45
2. Elimu yoyote
3. Dini yoyote sibagui.
4. Kazi hata asipokua na kazi ni sawa
5. Mtoto akiwa naye awe mmoja tu
6. Rangi yoyote, awe na shepu kiasi au zaidi, sura sio lazima
7. Awe Darisalam au awe tayari kuishi Dar

Karibuni kama kuna mtu ana ndugu yake au dada yake basi unaweza kucheza kama agent.
 
Niko hapa[emoji847]
 
Hapo kwenye elimu na kazi umejiharibia mwenyeewe. Hapa JF ni wasomi na matajairi tu...

Ungechomekeq elimu na kazi afu ukifanikiwa kumpata mmoja, unamwambukiza mimba afu ndio unafunguka ukweli sasa....

Mabinti wa sasa bila kauongo huwapati....
 

Hakuna mke mtandaoni kaka [emoji23][emoji23]
 
Asante kwa taarifa wahusika watakutafuta mke mwama anatoka kwa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…