ukipata R.I.P man downMimi ni kijana wa miaka 28. Nmeajiriwa sekta binafsi , kipato changu ni 400,000 kwa mwezi natafuta mwanamke wa kuoa kuanzia miaka 17 hadi 24 awe mzuri wa sura , awe rangi yoyote, asiwe na mtoto, awe na elimu yoyote, awe mkristo wa dhehedu lolote awe tayari kuishi Mahali nilipo yeyote anayeweza kunipa connection anisaidie, nipo serios
27-30 ni kikongwe huyoTafuta mshangazi wa 27 - 30 utanishukuru
Wamejaa tele huku mtaani. Tatizo mnaangalia miaka 30. Wewe akivuka 18 tambaa nae atasoma elimu ya watu wazima. Ukisubiria afike chuo umeisha mzee hata bikra hautaikuta.Kumbe kupata mwanamke wa kuoa imekuwa rahisi namna hii, ok anyway wanawake mnaotaka ndoa mume huyu hapa