Kila la heri best , sasa nimeanza kuamini kua wanawake walimu demand yao iko juu sana, hawapati tabu kukosa waume aisee, nakumbuka kuna mtu alishaleta thread humu kua wanaume wengi wana prefer kuoa walimu maana wanamuda mwingi wa kutunza familia, Duu, sijui kwa nini sikusomeaga ualimu?