Natafuta mwanamke wa kuishi naye

Natafuta mwanamke wa kuishi naye

WAPOMA

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2012
Posts
689
Reaction score
175
Kuanzia umri wa miaka 30 mpaka 37.kama amezaa asiwe na zaidi ya watoto wawili.Mwalimu atapewa kipao mbele.
PM faster.
 
Kila la heri best , sasa nimeanza kuamini kua wanawake walimu demand yao iko juu sana, hawapati tabu kukosa waume aisee, nakumbuka kuna mtu alishaleta thread humu kua wanaume wengi wana prefer kuoa walimu maana wanamuda mwingi wa kutunza familia, Duu, sijui kwa nini sikusomeaga ualimu?
 
pm please!!!!
 
Back
Top Bottom