Natafuta mwanamke wa kumuoa

Natafuta mwanamke wa kumuoa

mussa22

Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
13
Reaction score
1
HABARI WANA JAMII. MIMI NI KIJANA WA KIUME NINAEISHI MOSHI NAJITOKEZA KUTAFUTA MWANAMKE AMBAYE TUKIELEWANA ANAWEZA KUWA MKE WANGU WA MAISHI

SIFA ZANGU NI:
Elimu: chuo kikuu
Urefu: wa wastani
Dini : muislam
Umbo : wa wastani
Rangi: maji ya kunde

SIFA ZA MWANAMKE
ELIMU kuanzia form 4
Kazi : awe anafanya kazi au biashara
Dini : muislam au mkristo
Umbo : asiwe mwembamba sana akiwa mnene sawa
Rangi: yoyote

Tafadhali kwa aliye tayari naomba ani PM au tuwasiliane kupitia mussa21@live.com. natanguliza shukran
 
Daaaah kijana usikate tamaa utampata ila ungeweka umri wako na na wa unaemtafuta
 
Back
Top Bottom