mpambanaji orijino
New Member
- Feb 6, 2023
- 4
- 3
Habari ya uzima wenu wana JF?
Natumaini mu wazima.
Mimi ni mkazi wa Dar, ni muajiriwa na pia nina biashara zangu za kunipa senti mbili tatu. Umri wangu ni miaka 29 na ni mzaliwa wa mkoani Mwanza. Dini yangu ni mkristu.
Nakuja mbele zenu, nkiwasilisha ombi la kuweza kupata mwanamke ambae tunaweza anza urafiki, uchumba na kwa neema ya Mungu tufikie hatua ya ndoa.
Sifa zake; awe mkristu, ambaye pia yuko tayari kuwa katika mahusiano serious na umri wake uwe kuanzia 24 hadi 28.
Kama unadhani una vigezo hivyo na uko tayari naomba ni-email kwa jackson.william75@yahoo.com
Ahsanteni.