Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhakika Upo wa kutosha kwa mwanangu na mamake,wazima kwanza wawe na bima ya afya kwanza.. Kuhusu Mali zipi hapo sio nyingine saana tu as in nmewekeza kwenye real estate.!!mkuu samahani unamali gani mpaka sasa? biashara zikoje?
halfu mfano ukiitwa na bwana huku na mimba yako uhakika wa mwanao kuishi bila shida inakuwaje? je utaandikisha mirathi?
Nilishawai kulifikilia na ninaliishi...kwenye maisha ya kukariri Uko nilishatoka.Sasa mkataba wa miezi tisa akishazaa huyo mtoto inakuaje baada ya mkataba kuisha na hujampenda mkaachana? Ushawai kufikria mtoto kukaa na wazazi tofauti?
Ni mlipe kwani nimekwambia natafuta Binti wa kazi!?ni maelewano tu kati yangu na yeye!!
real estate haya mkuu nakujia pm sasa hiviUhakika Upo wa kutosha kwa mwanangu na mamake,wazima kwanza wawe na bima ya afya kwanza.. Kuhusu Mali zipi hapo sio nyingine saana tu as in nmewekeza kwenye real estate.!!
Heri ungeenda huko tu hapa watakukatisha tamaa tuMoko space mkuu au wanawap
kila la heriUwezo Upo bila shaka,vizibiti nnavyo..!!