Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri 42-50 ambaye yupo serious

Lyamba2019

New Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
1
Reaction score
4
Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye.

Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni mwajiriwa, dini yangu mkristo, nipo single, nina watoto 3, nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kutafuta mwanamke wa kuoa na kuanzisha nae familia kama mke na mume kama tukiridhiana na kuendana kitabia.

Mwanamke ninayemuhitaji angalau awe na vigezo vifuatavyo:
Awe na umri wa miaka 42-50 zaidi ya hapo, awe single kama ana mtoto sawa, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au kujiajiri, asiwe mlevi wa kilevi chochote, awe tayari kupima HIV, awe mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati, awe mpenda maendeleo, anajali watu.

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo ni pm.

Mikoa ya Pwani, Dar, Morogoro atapewa kipaumbele.
 
duuuh hao hawapo huku mkuu, wenye umri huo wako bze na wajukuu wanalea. Ila jaribu jaribu maana huenda ukapata mmoja. Kwani mwenye watoto watatu alienda wapi? funguka vizuri kama uko serious. Halafu wenye umri huo hata wasinywe kawine ka kutuliza akili watakuwa hawatendei haki maisha yao.

teh teh
 
Tutawaambia kuna fursa huku
 
Mbona hapo kwenye shahada ya uzamivu kama unajing'atang'ata hii inaonyesha ni jinsi gani miyanaume ya Jf ilivyo miongo!

Pili nina watoto watatu alafu nipo single nyooo watoto wa tatu umewaokota sokoni?

Tatu Umri miaka 42 na kuendelea sasa huyo si ajuza kabisa na kijana huwez mpata mana ujana ule na nani alafu uzee umalizie kwa kijana.

My take endelea tu kutafuta.
 
Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye.

Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni mwajiriwa, dini yangu mkristo, nipo single, nina watoto 3, nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kutafuta mwanamke wa kuoa na kuanzisha nae familia kama mke na mume kama tukiridhiana na kuendana kitabia.

Mwanamke ninayemuhitaji angalau awe na vigezo vifuatavyo:
Awe na umri wa miaka 42-50 zaidi ya hapo, awe single kama ana mtoto sawa, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au kujiajiri, asiwe mlevi wa kilevi chochote, awe tayari kupima HIV, awe mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati, awe mpenda maendeleo, anajali watu.

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo ni pm.

Mikoa ya Pwani, Dar, Morogoro atapewa kipaumbele.
Mama wa hao watoto watatu wako wapi?
 
Mbona hapo kwenye shahada ya uzamivu kama unajing'atang'ata hii inaonyesha ni jinsi gani miyanaume ya Jf ilivyo miongo!

Pili nina watoto watatu alafu nipo single nyooo watoto wa tatu umewaokota sokoni?

Tatu Umri miaka 42 na kuendelea sasa huyo si ajuza kabisa na kijana huwez mpata mana ujana ule na nani alafu uzee umalizie kwa kijana.

My take endelea tu kutafuta.

Mh...
 
Back
Top Bottom