Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri 42-50 ambaye yupo serious

Natafuta mwanamke wa kuoa mwenye umri 42-50 ambaye yupo serious

duuuh hao hawapo huku mkuu, wenye umri huo wako bze na wajukuu wanalea. Ila jaribu jaribu maana huenda ukapata mmoja. Kwani mwenye watoto watatu alienda wapi? funguka vizuri kama uko serious. Halafu wenye umri huo hata wasinywe kawine ka kutuliza akili watakuwa hawatendei haki maisha yao.

teh teh
Mwenzangu kumbe 42 bado?
 
Tunaweza kuamua kuwa wastaarabu kiasi!
Kila bandiko lianawahusu watu fulani,sio lazima kujibu kila kitu.kuna watu wanajifanya kutoa ushahuri wakati
mwennye hoja yake yamkini anayajua hayo yote kabla ya kuleta hoja.
Anatafuta mke anaambiwa eti mbona umri umekwenda! Mara ujana ulikula na nani!
Kama hoja unaona haikuhusu ni vema kukaa Kimya,kwani nako ni busara tosha!, maswali ya aina hiyo wacha yaulizwe na wahusika kwenye PM zao.
 
Mbona hapo kwenye shahada ya uzamivu kama unajing'atang'ata hii inaonyesha ni jinsi gani miyanaume ya Jf ilivyo miongo!

Pili nina watoto watatu alafu nipo single nyooo watoto wa tatu umewaokota sokoni?

Tatu Umri miaka 42 na kuendelea sasa huyo si ajuza kabisa na kijana huwez mpata mana ujana ule na nani alafu uzee umalizie kwa kijana.

My take endelea tu kutafuta.
Wapo watu wazima, wengine hawajaolewa wengine wajane. Nafikiri hamna shida.
 
We utakua na stress za mahusiano, km hana hyo shahada c mtafute umhoji! Af kuwa na watoto haimaanishi ndo kuwa na mke, Ali Kiba ana watoto wangapi? Mwanaume anaweza kuoa hata akiwa na miaka 70 na akazaa hawanaga menopose. Pi mwanaume kwa miaka 45 bado kijana, kwabaadhi ya makabila ndo muda wa kuongeza mke wa tatu, sema alichokosea mtoa tangazo ameenda mbali mno, hadi 50? Age diff ni 5 to 10 yrs, so hata 35 kuendelea anaweza oa.
Mbona hapo kwenye shahada ya uzamivu kama unajing'atang'ata hii inaonyesha ni jinsi gani miyanaume ya Jf ilivyo miongo!

Pili nina watoto watatu alafu nipo single nyooo watoto wa tatu umewaokota sokoni?

Tatu Umri miaka 42 na kuendelea sasa huyo si ajuza kabisa na kijana huwez mpata mana ujana ule na nani alafu uzee umalizie kwa kijana.

My take endelea tu kutafuta.
 
Mbona hapo kwenye shahada ya uzamivu kama unajing'atang'ata hii inaonyesha ni jinsi gani miyanaume ya Jf ilivyo miongo!

Pili nina watoto watatu alafu nipo single nyooo watoto wa tatu umewaokota sokoni?

Tatu Umri miaka 42 na kuendelea sasa huyo si ajuza kabisa na kijana huwez mpata mana ujana ule na nani alafu uzee umalizie kwa kijana.

My take endelea tu kutafuta.
mbona unaandika kwa Jazba hivi? Kuna tatizo kwani
 
Mbona hapo kwenye shahada ya uzamivu kama unajing'atang'ata hii inaonyesha ni jinsi gani miyanaume ya Jf ilivyo miongo!

Pili nina watoto watatu alafu nipo single nyooo watoto wa tatu umewaokota sokoni?

Tatu Umri miaka 42 na kuendelea sasa huyo si ajuza kabisa na kijana huwez mpata mana ujana ule na nani alafu uzee umalizie kwa kijana.

My take endelea tu kutafuta.

Wewe mwanamke una matatizo sio bure. Mwenzako anatafuta mwenza wewe unaleta uswahili.
 
Nimedhamiria kwa dhati, natafuta mke wa kuoa na kuishi naye.

Naitwa Hensley nina umri wa miaka 46, rangi yangu maji ya kunde, ni mnene kidogo, mrefu wastani, elimu yangu shahada Ua uzamivu, ni mwajiriwa, dini yangu mkristo, nipo single, nina watoto 3, nimeamua kwa dhati ya moyo wangu kutafuta mwanamke wa kuoa na kuanzisha nae familia kama mke na mume kama tukiridhiana na kuendana kitabia.

Mwanamke ninayemuhitaji angalau awe na vigezo vifuatavyo:
Awe na umri wa miaka 42-50 zaidi ya hapo, awe single kama ana mtoto sawa, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea, awe ameajiriwa au kujiajiri, asiwe mlevi wa kilevi chochote, awe tayari kupima HIV, awe mkarimu na mwenye mapenzi ya dhati, awe mpenda maendeleo, anajali watu.

Kwa aliye tayari na mwenye vigezo hivyo ni pm.

Mikoa ya Pwani, Dar, Morogoro atapewa kipaumbele.
Mkuu vp ulifanikiwa? Tupe bac mrejesho ili tushauriane pia...
 
Back
Top Bottom