ok. nashukuru ndguok poa. all the best !!!!
jamani nimesha kosa bahati umri umeniangusha! nina miaka 31 unaweza kunifikiria hata kidogoMimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri kuanzia miaka 23 had 27 awe mkristo na awe mcha MUNGU. Kwa yeyote aliye tayari na aliye serious ani pm plz. Swal lolte litajibiwa.
mh. aise huo umri hpna utazeeka uniache. samahan lakinjamani nimesha kosa bahati umri umeniangusha! nina miaka 31 unaweza kunifikiria hata kidogo
dini nayo kizungumkuti
Kaka tutake radhi, kwani walioko huku jf wanatoka wapi au wanaishi wapi?Huku if sidhan kam kuwa wa kuoa. Matapeli tu wamejaa... Tafuta uko uko kwwny jamii yako
kwan ww uko wap mkuu?Dodoma mbali
achana nae huyo ntakuoa mimi,mahali isizidi mil40 lakini nisije kufa masikini,atlist ichezee kwenye mil 20-30 ndo ntamudu mama.Mimi umenipotezea
natafuta mke miaka yangu ni 30 niko dodoma, ni mchagga. awe na elimu angalau kidato cha nne na awe serious kweli kwenye uhusiano na pia awe tayar kwa utambulisho kabla ya mambo mengine sichagui rangi wala kabila aliye serious kweli ani pm.
Sent