Natafuta mwanamke wa kuoa (serious)

Natafuta mwanamke wa kuoa (serious)

Mimi nikijana mwenye umri wa miaka 30 ni mzaliwa wa Moshi ila kwa sasa niko Dodoma kikazi natafuta mwanamke ambaye yuko tayari kuishi na mimi maisha yoyote yale. VIGEZO vyangu nikuwa awe na umri kuanzia miaka 23 had 27 awe mkristo na awe mcha MUNGU. Kwa yeyote aliye tayari na aliye serious ani pm plz. Swal lolte litajibiwa.
jamani nimesha kosa bahati umri umeniangusha! nina miaka 31 unaweza kunifikiria hata kidogo
dini nayo kizungumkuti
 
natafuta mke miaka yangu ni 30 niko dodoma, ni mchagga. awe na elimu angalau kidato cha nne na awe serious kweli kwenye uhusiano na pia awe tayar kwa utambulisho kabla ya mambo mengine sichagui rangi wala kabila aliye serious kweli ani pm.

Sent
 
natafuta mke miaka yangu ni 30 niko dodoma, ni mchagga. awe serious kweli kwenye uhusiano na pia awe tayar kwa utambulisho kabla ya mambo mengine sichagui rangi wala kabila aliye serious kweli ani pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mke miaka yangu ni 30 niko Dodoma, awe serious kweli kwenye uhusiano na pia awe tayari kwa utambulisho kabla ya mambo mengine sichagui rangi wala kabila aliye serious kweli ani pm.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom