Natafuta mwanamke wa kuoa (serious)

Kila la kheri.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Kama pochi inapumua vizuri sema nikuitie Miss chagga
 
Kwa masharti hayo nenda kwenye nyumba za ibada.....hapa utavamia nungayembe uishie kujuta maisha yako yote....
 
kama bado hujapata mi nakuja pm now
 
natafuta mke miaka yangu ni 30 niko dodoma, ni mchagga. awe na elimu angalau kidato cha nne na awe serious kweli kwenye uhusiano na pia awe tayar kwa utambulisho kabla ya mambo mengine sichagui rangi wala kabila aliye serious kweli ani pm.

Sent
Kama ujapata ni email hapa namba yako nikupe binti mchaga mwenzio ila umuoe sio utie na umuache

Mstaarabu92@yahoo.com

Ntakupa history ya maisha yake pia kwa kifupi.
 
sorry nmechelewa but nmetuma kwenye email yako.sijuh kama umepata. niko serious mkuu kuliko unavyofikiria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…