le professeur
Member
- Jan 31, 2016
- 17
- 17
Hujawahi kuona maisha yanavyo fanywa nn mkuu[emoji3500] Awe tayari kufanya maisha?
Kwa kweli nimejuliza namna gani hayo maisha yanafanywa.
Kuyafanya nahisi amemaanisha asiyebweteka,mtafutaji au aliye na malengo ya maisha hata kwa mawazoKwa kweli nimejuliza namna gani hayo maisha yanafanywa.
Unaweza kunipa dondoo kidogo nikaelewa namna gani yanafanywa?
Usiwe na mawazo mgando. Nmemaanisha aliye serious.[emoji3500] Awe tayari kufanya maisha?
Usiwe na mawazo mgando. Nmemaanisha aliye serious.
Mkuu hili bandiko ungeweka sehemu unakoabudu au kufanya kazi ingekusaidia zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe na kiswahili cha kiha andika lugha inayoeleweka.
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? AmazingUlishawahi?
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing
Sent using Jamii Forums mobile app