Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

le professeur

Member
Joined
Jan 31, 2016
Posts
17
Reaction score
17
Mimi ni kijana wa miaka 30. Nimemaliza elimu ya chuo kikuu miaka Saba iliyopita, kwa sasa nimejiajiri na nina biashara zangu. Ninaishi mkoa wa Kilimanjaro. Mwanamke ninayemtaka awe,
@ umri wowote
@ awe tayari kufanya maisha
@ hata kama ana mtoto

@ kabila lolote

nichek 0625201450
 
Kwa kweli nimejuliza namna gani hayo maisha yanafanywa.

Unaweza kunipa dondoo kidogo nikaelewa namna gani yanafanywa?
Kuyafanya nahisi amemaanisha asiyebweteka,mtafutaji au aliye na malengo ya maisha hata kwa mawazo

Maana kuna wengine wanakaa kama golikipa anasubiri kuletewa tu nahisi hivyo ndivyo alivyo maanisha mleta Uzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwanza ujifunze kutenganisha maneno. Pili muulize baba yako alimpataje mama yako then ndo uje andika ujinga hapa. Nani alikuambia wote waliooana walijuana tokea utoto?.
 
Back
Top Bottom