Kafie mbele blue Shwain. Tumechoka kutoa ushauri humu mkikutana na vitu vya ajabu na mihemko ya kukurupukia wake wa mitandaoni.Kwanza ujifunze kutenganisha maneno. Pili muulize baba yako alimpataje mama yako then ndo uje andika ujinga hapa. Nani alikuambia wote waliooana walijuana tokea utoto?.
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa. Haoni hata wanaorudi kulalamika humu baada ya kukurupukia mahusiano ya mitandaoniHata mm namshangaa huyu mbuzi katoliki.Wanawake wa humu ndo hao hao wa mitaani,kutangaza nia ya kutafuta mwanamke humu ni dalili ya kutokujiamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta mke acha papara.Lugha ni nini?. Kiswahili cha kiha sio lugha?. Na kama sio lugha umeelewaje nlichoandika?.
Acha hasira za ajabu wewe domo zege.Kwanza ujifunze kutenganisha maneno. Pili muulize baba yako alimpataje mama yako then ndo uje andika ujinga hapa. Nani alikuambia wote waliooana walijuana tokea utoto?.
Hakika mkuu ujinga uliotukuka nao n kipaji hawa ndo The list huwa anawaita empty set.Kabisa. Haoni hata wanaorudi kulalamika humu baada ya kukurupukia mahusiano ya mitandaoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mm namshangaa huyu mbuzi katoliki.Wanawake wa humu ndo hao hao wa mitaani,kutangaza nia ya kutafuta mwanamke humu ni dalili ya kutokujiamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika mkuu ujinga uliotukuka nao n kipaji hawa ndo The list huwa anawaita empty set.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ndo walewale kuna ubaya gani kutafuta hapa.
Huoni Kama unajiongezea mzigo. Yaani uanze kuchat na mtu ambae humfahamu. Then ndo aje ajidhihirishe unakuwa ushaoteza muda. Halafu risk ya kupata anayepretend ni kubwa mno coz anajua huyu bwege anatafuta mke. Yaani hujiongezi. We kweli kiazi.Sasa kama ndo walewale kuna ubaya gani kutafuta hapa.
sasa hao wanawake wa huko ulikokutaja hawatumii jf mkuu?Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing
Sent using Jamii Forums mobile app
Suuuuuuuuuuuuuuuusijui nijitose?? semeni suuuuuuuuuuuuuuuu πππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiwe na kiswahili cha kiha andika lugha inayoeleweka.
Wanatumia. Lkn risk ya ku - fake tabia ni kubwa coz wanaju huyu domo zege anatafuta mke.sasa hao wanawake wa huko ulikokutaja hawatumii jf mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee ama kweli mbona mna mpa shida mwanaume mwenzenu
Mnataka apate hasira aropoke akose mke
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
sasa hao wanawake wa huko ulikokutaja hawatumii jf mkuu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] du vibaya hivyo mpeni moyo hivyo hivyoAache upuuzi na yeye na kiswahili chake cha ajabu.
Nenda @Rebeca83sijui nijitose?? semeni suuuuuuuuuuuuuuuu πππ