Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Kwanza ujifunze kutenganisha maneno. Pili muulize baba yako alimpataje mama yako then ndo uje andika ujinga hapa. Nani alikuambia wote waliooana walijuana tokea utoto?.
Kafie mbele blue Shwain. Tumechoka kutoa ushauri humu mkikutana na vitu vya ajabu na mihemko ya kukurupukia wake wa mitandaoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mm namshangaa huyu mbuzi katoliki.Wanawake wa humu ndo hao hao wa mitaani,kutangaza nia ya kutafuta mwanamke humu ni dalili ya kutokujiamini.
Yaani apo umeonyesha kwajinsi gani ulivyomwehu. Umeshindwa kuona mke anaekufaa huko unakoishi, kusoma, kazini, unakoabudu unakuja kutafuta huku kwa wasiojulikana? Amazing

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ujifunze kutenganisha maneno. Pili muulize baba yako alimpataje mama yako then ndo uje andika ujinga hapa. Nani alikuambia wote waliooana walijuana tokea utoto?.
Acha hasira za ajabu wewe domo zege.
 
Sasa kama ndo walewale kuna ubaya gani kutafuta hapa.
Huoni Kama unajiongezea mzigo. Yaani uanze kuchat na mtu ambae humfahamu. Then ndo aje ajidhihirishe unakuwa ushaoteza muda. Halafu risk ya kupata anayepretend ni kubwa mno coz anajua huyu bwege anatafuta mke. Yaani hujiongezi. We kweli kiazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom