Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 54,943
Huwa siamini sana watu wanaotafuta wake/waume mitandaoni. Kama siyo mchawi basi ni kikojozi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] du vibaya hivyo mpeni moyo hivyo hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh huwezi jua,kama waliopo mtaani ndo walioko huku sidhani kama ni makosaHuwa siamini sana watu wanaotafuta wake/waume mitandaoni. Kama siyo mchawi basi ni kikojozi.
Fanya diet week 1 tu unakuwa na kamwili kama ka hamisa mobettotatizo mie kizee,nimempita miaka mingi,afu kibonge ..😳😳😳 naogopa...
Mh huwezi jua,kama waliopo mtaani ndo walioko huku sidhani kama ni makosa
Wala sioni kama kuna ubaya coz unaweza pata mtu sahihi humuhumu afu usiamini pia wapo na wasio sahihi pia humuhumu
Ni sawa tu na mtaani msafara wa mamba na kenge hawakosekani binafsi naamini mahusiano huanza popote muhimu kumsoma mtu ukionana naye na kuwa na msimamo japo wapo wanaofake kuonekana wema kumbe wabaya ni ngumu sana kuwatambua hata huko mitaani wapo
Ni kuomba neema ya Mungu ituongoze tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aache upuuzi na yeye na kiswahili chake cha ajabu.
Tulia wewe domo zege mbona kelele nyingi. Mke hatafutwi kwa maneno ya kike hayo.Kwanini unateseka?
Sio kweli mkuu. Hata wa huko wakiamua kufake wanafake tu. Usimkatishe tamaa mwenzio na kumtusi badala yake muombee hei afanikiweWanatumia. Lkn risk ya ku - fake tabia ni kubwa coz wanaju huyu domo zege anatafuta mke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe domo zege mbona kelele nyingi. Mke hatafutwi kwa maneno ya kike hayo.
Hata mimi naonalabda wanadhania wanawake wa JF wanaishi Jupiter huko na sio wa humu humu mitaani...mnhh
Kwani hii post ya mwanamke!Tatizo hujielewi ndio maana, post inajieleza wewe mwanaume unafuata nini hapa. Jitathmini.
Tulia wewe domo zege mbona kelele nyingi. Mke hatafutwi kwa maneno ya kike hayo.
Leta ujinga wako wajue kabisa ulivyo kichwani.Unanifundisha namna ya kutafuta kama nani?.
Kwani hii post ya mwanamke!
Kwani hii post ya mwanamke!
Au wewe wale mlokua mnatafutwa na makonda?. Mwanaume unakuaje na vijembe ?
Mimi natafuta mwanamke. Sasa wewe mwanamke?.
Leta ujinga wako wajue kabisa ulivyo kichwani.