Mh huwezi jua,kama waliopo mtaani ndo walioko huku sidhani kama ni makosa
Wala sioni kama kuna ubaya coz unaweza pata mtu sahihi humuhumu afu usiamini pia wapo na wasio sahihi pia humuhumu
Ni sawa tu na mtaani msafara wa mamba na kenge hawakosekani binafsi naamini mahusiano huanza popote muhimu kumsoma mtu ukionana naye na kuwa na msimamo japo wapo wanaofake kuonekana wema kumbe wabaya ni ngumu sana kuwatambua hata huko mitaani wapo
Ni kuomba neema ya Mungu ituongoze tu.
Sent using
Jamii Forums mobile app