- Thread starter
- #21
Hivyo vigezo vyako unataka viwe vya kila mtu!!!
Umesema kweli my imaginary wife to be ila la kuwa na mtoto ni gumu na ni suala mtambuka ambalo nafikiri halina chama,na hili la kutoa au kutotoa mimba hakuna uwezo wa kulitambua,au niseme mimi ujuzi wangu wa kulitambua ni finyu kidogo