Natafuta mwanamke wa kuoa

William_Lyimo

New Member
Joined
Jun 15, 2015
Posts
4
Reaction score
3
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilizaliwa na kukulia ktk mkoa wa Kilimanjaro,kwa sasa ninaishi Dar es salaam namshukuru Mungu alinifanikisha kupata kazi serikalini,kwasasa ninatamani sana kua na familia hivyo ninatafuta mwanamke mrembo mwenye umri kuanzia 20-24 tutakaependana,kua wachumba na hatimae kufunga ndoa.
Awe na sifa zifuatazo
1.Awe mkristo na mcha Mungu
2.Awe na elimu kuanzia kidato cha 4
3.Awe mwanamke anaejitunza na kujiheshimu na awe tayari kuwapenda wazazi pamoja na ndugu zangu.
4.Awe serious ktk mahusiano.
5.Awe mkweli kkt kila jambo asiwe mtu wa kuficha mambo.

Kama ww ni mwanamke na una sifa hizo na upo tayari kuanzisha mahusiano plz naomba unicheki inbox.
Asante Mungu awabariki.
 
Mimi ni mrembo jamani ila sio mweupe Karma ona rangi imenikosesha mume 😀😀
 
achene ushamba wa rangi we pimbi.
nyinyi ndo motive ya dada zetu kujichubua. shwaini kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…