Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Ungejua nilivo na sauti baya mkuu wala hata usingetamani kuniskia[emoji3]
[emoji1][emoji1] hiyo hiyo me naitaka naamini itanifaa,, mama kuwa na moyo uliopondeka ili ule raha duniani mpaka uhisi upo sayari mpya inaitwa sayari ya mahaba,,, chukua hatua mapema malkia
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.

Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.

Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
Habari naitwa Rose nina miaka 27 kabila mpare nipo Bagamoyo nitumie no yako ya Whatsapp
 
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31. Elimu yangu ni bachelors degree.

Ni mwajiriwa na nimejiajiri pia. Dini yangu ni Mkristo.

Nahitaji mke mwenye umri wa miaka 20-32. Dini awe mkristo
Mkuu ukipata nitag maana siku hizi kupata mke si kazi ndogo
 
Hivi huwa mnapataga mke/mume na haya matangazo yenu, na ndoa hudumu kabisa kweli?
 
Back
Top Bottom