Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

Tangoman

New Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
4
Reaction score
8
Habari bado sijampata mke wa kuoa, natafuta mke mwenye umri 18-28. Sina ubaguzi wa Elimu yake, kabila, Wala dini.

Mimi ni mkristu, Elimu ya Chuo Kikuu, mwajiriwa, naishi Dar kwa Sasa

Karibu PM kama upo serious
 
Interview ikiisha huko pm tuletee mrejesho hapa!
 
Back
Top Bottom