Natafuta mwanamke wa kuoa

Natafuta mwanamke wa kuoa

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Nina miaka28,nipo mpweke,me napenda mwanamke ambaye ni mrefu,awe mweupe kiasi,awe mwl wa shule ya msingi au sekondari,awe mwenyeji wa mkoa wa kilimanjaro,sifa zangu,mimi ni maji kunde,urefu cm187,giant kiaina,nipo Mkwawa unirsity 0712336687
 
Pia mtu wa Arusha,na Tanga anakaribishwa,sio kua nabagua,napenda mtu anaetoka karibu na home mana ndio chaguo langu.
 
Makuu! We unaoa kwa mikoa siyo? Heri elimu yako cha chuo ingekusaidia badala ya kuendelea na ukale ingekuwa vizuri. Hivi Mkwawa unirsity ndiyo kitu gani?
 
mmmh boom halitanitosha,siwezi kuishi kwa boom kwa kweli soma kwanza umalize shule
 
Back
Top Bottom