Habarini wadau wote wa JF mimi kijana wa 25-26 nataka mwana dada 18-24 wa kuoa mwenye elimu yeyote awe na biashara au kazi yeyote mjanja wa towm hapa dar es salaam
mimi form 4
nafanya bishara ndogondogo za uswaz
naishi maisha ya mtz wa kawaida
sinywi pombe
sivuti sigara
mimi form 4
nafanya bishara ndogondogo za uswaz
naishi maisha ya mtz wa kawaida
sinywi pombe
sivuti sigara